USHAONA HILI? inapotokea mtu anaanza mada au kuchangia.....

Status
Not open for further replies.
Kuweni wapole basi...

wengine hatunaga upole aisee..bahati yake hapa ni keyboard...mtu kama huyo anga zangu namkata kichwa kisha mtama chini halafu hiyo kesi ije badae wakati nshamwaibisha na kumpa lesson ajue kuishi kwenye jamii
 
Nadhani tatizo ni kwamba hamna chat room labda wahusika wakiweka hiyo sehemu watu watakuwa wanapata sehemu ya tete-a-tete
 
wengine hatunaga upole aisee..bahati yake hapa ni keyboard...mtu kama huyo anga zangu namkata kichwa kisha mtama chini halafu hiyo kesi ije badae wakati nshamwaibisha na kumpa lesson ajue kuishi kwenye jamii

mtu kama yupi sasa..
 
Sasa je!
We Lizzy,we ni mpishi.. Si unajua maandalizi yanavyokuwa?

Mi napenda kila kitu kiwe tayari,vitunguu,nyanya,nyama au samaki kila kitu kishakatwa... Mi ni kutia vitu kwenye sufuria..baasi. Yale maandalizi yananichoshaje?

Hahahaha. . .Yeahhh!!

Sasa uandae mwenyewe sio unataka kukoroga tu kama watu flani flani nnaowajua.Lolz
Ushaamua unapika nini?
 
Sipendi ma2c kwani hata mimi nayaweza...

Please acha fujo! Kama kuuondoka nitaondoka lakini si kwa kunitukana... Pweza mbichi wee!

Sijakutusi bana bt what a sredi is dealt with such kind of people, makes bored infact!! Just gives pain, Am not always right bt never wrong, umenimiss-qoute gamba, bt am sorry kama umedhani nimekutusi.
 
ngoja..
 
Endeleeni kupikilishana kama mlidhani ndio lengo la sredi
im out of here
 
Nilisema kuweni wapole...
We ukanijibu hivyo.. Kwamba inakuuma kiasi hicho? Basi pole na mjadala uishe..

Ok pamoko...bt mi nishangaa tunajadili baadhi ya watu(wakongwe/magwiji) kuchakachua sredi at the same time nyie mnaongelea mapishi na Lizzy ndani ya sredi ya mtu...hii imekaaje?? au mi nasoma kichinachina, manake sijaelewa hapo!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom