USHAONA HILI? inapotokea mtu anaanza mada au kuchangia.....

Status
Not open for further replies.
Ni kweli mara nyingi tabia zetu huwa haziwapendezi wengine na za wengine hazitupendezi. Huwezi kuwafurahisha kila mtu katika kila jambo utakalolifanya. Vizuri kukosoana na kurekebishana ili tusiendelee kukwazana hasa kwa mambo yanayoweza kurekebishika. Kama una nia njema ya kusolve tatizn mtaje huyo dada na umwambie wapi anakukwaza.
 
Keshaupata ujumbe na keshajijua ni nani.
Ukisema utaje mtu unaanzisha ligi for nothing - kumbuka ni watu wachache sana hupokea criticism positively!
Unajua ujumbe una njia nyingi za kufikishwa - some do it through songs, others through mashairi n.k
 
oooh! Haya waarabu wa pemba.
 
Mapemaa hii?

Sasa je!
We Lizzy,we ni mpishi.. Si unajua maandalizi yanavyokuwa?

Mi napenda kila kitu kiwe tayari,vitunguu,nyanya,nyama au samaki kila kitu kishakatwa... Mi ni kutia vitu kwenye sufuria..baasi. Yale maandalizi yananichoshaje?
 
Kuna wimbi la thread zinazoanzishwa na baadhi ya member wanaojifanya wamekaa muda mrefu sana jamvini. Hawa wanaelezea masikitiko yao juu ya kupungua kwa hoja nzito jamvini na kutoa lawama zao kwa member wapya kuwa ndiyo wanaohusika na kuishusha hadhi JF kwa hoja zenye mashiko.

Ukiwachunguza hicho wanachokiposti hao wanaojiita member wa zamani wa JF ni ***** kuliko hata hicho cha member wapya wanaowaponda. Ushauri wangu ni kuwa hawa member wa zamani waache mambo yao ya kizee na kufikiri kuwa JF imetengwa kwa ajili yao tu.

Wana spirit ya ubinafsi. Hakuna uhusiano kati ya upya na post za kipuuzi, though waliotokea kuchafua hali ya hewa kwa kiasi kikubwa ni member wapya.

Hao wakongwe wangetumia ukongwe wao kuleta mabadiliko kwa memba wapya. Ni wazi kuwa watu tunaathiriana, ninayo mifano ya watu kadhaa humu jamvini ambao wamekuwa na mabadiliko chanya tangu walipokuja mpaka leo, sababu ni athari kutoka kwa waliowakuta.

Kususa sio suluhisho la mustakabali wa jukwaa unaoonekana kulegalega, pia ni vizuri kuwa sehemu ya mabadiliko unayotaka kuliko kuliko kutafuta wa kumtupia lawama.

Na hapa....https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/219710-these-peoplez-ar-boring.html
 
well said!lakini ni kweli kabisa hii tabia inakera sana, unakuta mtu thread imeanzishwa halafu wanakuja watu wanaanza kufanya mazungumzo mara wanaanza kusalimiana wanaanza kupiga porojo ndani ya thread kama ulivyosema wanatongozana, kama ulivyosema na mimi naungana na wewe kama wanataka kusalimiana na kuanza kukumbushana huko machakani basi waanzishe thread za kusalimiana na kupigana mistari wakimaliza warudi wachangie thread za maana! Waache ujinga!

Hapa ndipo machukizo mengi yanapokuja!!
 
kuna vijitu,Mx

Vinaanza taraaatibu kuchakachua sredi...hembu ona hapa!!

Sasa je!
We Lizzy,we ni mpishi.. Si unajua maandalizi yanavyokuwa?

Mi napenda kila kitu kiwe tayari,vitunguu,nyanya,nyama au samaki kila kitu kishakatwa... Mi ni kutia vitu kwenye sufuria..baasi. Yale maandalizi yananichoshaje?

Sasa mambo ya mapishi yanatokea wapi??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom