

natabiri wewe uliyeleta huu uzi ni msukumaHabari wana jamvi,leo wakati wa kipindi cha michezo baada ya taarifa ya habari mtangazji Amri Masare ameibuka na bonge la shati. Sasa najiuliza ni ushamba au ni staili mpya iliyoletwa na Kofii Olomide.Kama ni staili mpya wana bodi tuambizane.View attachment 1642512View attachment 1642513
Ni mkibosho!natabiri wewe uliyeleta huu uzi ni msukuma
Ni mkibosho!
au ni Mwakabibinatabiri wewe uliyeleta huu uzi ni msukuma