Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Aug 18, 2011 #1 Jamaa mmoja toka kijiji fulani wilayan ngara mkoan kagera aliingia bank huku akiwa ameshka spana,alipohojiwa na walinzi kuhusu kuingia na spana bank,akajibu anataka kufungua account..bac wateja wote 2kawa hoi kwa vicheko..
Jamaa mmoja toka kijiji fulani wilayan ngara mkoan kagera aliingia bank huku akiwa ameshka spana,alipohojiwa na walinzi kuhusu kuingia na spana bank,akajibu anataka kufungua account..bac wateja wote 2kawa hoi kwa vicheko..
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Aug 18, 2011 #3 Hii imenichekesha... Kwani yeye alifikiri akaunti ni nini, au alikuwa na maana ya kaunta?