tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.
MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.
mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.
Hiyo simu yako inaitwaje mkuu. naona pia ina vimbwanga kibao. hebu nijuze inapatikana wap?.Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.

Hiyo simu yako inaitwaje mkuu. naona pia ina vimbwanga kibao. hebu nijuze inapatikana wap?.
Hiyo SPB shell umeipataje? Nipe maujanja maana kwenye Android market au Google play inauzwa Usd 14 na ushee.
Hiyo Galaxy s2 ni best mobile so far, but bei yake ni rahisi sana. Its only abt 1.2m! Hii hata watoto wa shule wanaweza kununua, usijisifu kwa hili mkuu!Wee ni pumbavu, simu yangu ni Samsung Galax2. Nenda kaulize bei yake ukiwa umeshiba sawasawa vinginevo utaonekana mshamba ni wewe.
hapa mtoa mada ameonesha wivu wa waziwazi,simu gani ya elfu 50 yenye kila kitu?kama hujiwezi kaa utulie.tumekuja duniani kuishi hatukuja kufanana,raha jipe mwenyewe,acha wivu.
hahaha hobby mkuu! simu natumia popote pale laptop mzigo sana so inatumika on high demand.Huo ndio ushamba wenyewe, we kama una radio, laptop etc sasa unanua simu yenye hivyo vitu vyote ya nini!!!. ingali utakuwa huvitumii kwenye simu. Au basi kulingisha ili ukifika baa uiweke juu ya meza!!! loh!!
atleast Galaxy Nexus R. Mie naona S2 ya zaman sana japo sipendi samsung ninayo samsung i900 hapa inachajiwa kila after 12 hours.Hiyo Galaxy s2 ni best mobile so far, but bei yake ni rahisi sana. Its only abt 1.2m! Hii hata watoto wa shule wanaweza kununua, usijisifu kwa hili mkuu!
Unaona kitu hicho!!.
Mwishowe utasema kwa kuwa baiskeli ni usafiri basi haina haja ya kuwa na gari.
Tukianza kufatilia mambo ya anasa ni mengi sana,
Kwa mfano. Mtu unaish kwenye nyumba kuuubwa peke yeko,
ni kwa nini usijenge chumba kimoja chakukutosha?
Mtu m1 unamiliki nguo nyiingi kwa nini usiwe na nguo 6 tu?suruali 3 shati 3 kwisha,
Mtu m1 anamiliki kochi set nzima,
kwa nini usichonge stuli moja tu ya kukalia wewe mwenyewe?
Tehe tehe tehe tehe ntarudi baadae.
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza kuhabarisha watu na kupata taarifa mbalimbali kama za hapa JF. Lakini mi point yangu ni kwaba kweli kuna ulazima wa kuwa na simu ya bei mbaya sana kuanzia laki 3 na kuendelea wakati unaweza kupata simu yenye hizo huduma zote kwa elfu 50 mpaka laki??, huu sio ushamba kweli!!, kinachofurahisha zaidi hao wanaotengeneza hizo simu wenyewe hata hawazitumii hizo za bei mbaya!!!,
Utakuuta mtu una simu ya milioni moja halafu anasema maisha magumu!!.