Ushamba ni kazi sana

Swensa

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,885
Reaction score
4,304
Ila ujana kazi sana kwakweli🤣🤣🤣fikiria hapa Kuna mtu anaishi kwenye hiki chumba na yupo sawa kabisa🤣🤣🙌🙌Mimi Kwakweli nikiingia hapo ndani nikitoka nje mnishike mkono Kwasababu nitakua naona mawenge mawenge😆 labda ushamba
 
Sasa ushamba hapo ni nini? Rangi ya taa? Technology iliyotengeneza hiyo kuna akili kubwa imewekwa na inajua kuna consumers wa hiyo. Huwezi wewe sio sababu ya ushamba ila macho yako hayana uwezo wa kustahimili
 
Duuh,Duniani kuna mambo!Hata Mimi nikitoka humo kama sijielewi na farujohn!wenge si wenge!
 
Sasa ushamba hapo ni nini? Rangi ya taa? Technology iliyotengeneza hiyo kuna akili kubwa imewekwa na inajua kuna consumers wa hiyo. Huwezi wewe sio sababu ya ushamba ila macho yako hayana uwezo wa kustahimili
Problem si kutengeneza is where inatumika, and thats where kuna tofauti yetu na wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…