Ushamba mzigo

Wewe ndo boya kabisa tatizo liko wapi kuchanika si jambo la kawaida tu kwani kavaa chuma
ushamba wako ni mzigo wako .............hilo sio tukio la kawaida kwani limemkuta mtu asiye wa kawaida na ndiyo maana limekua story ya dunia
 
Poor mind, cha ajabu nini hapo poster?
 
Sioni tatizo,,,,,,,ukizangatia kuanzia usafiri na kila kitu in private
 
ushamba wako ni mzigo wako .............hilo sio tukio la kawaida kwani limemkuta mtu asiye wa kawaida na ndiyo maana limekua story ya dunia
Mkuu.....watu wameyazoea mabaya mpaka wanayaona kuwa ni mambo ya kawaida...kabisa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…