Ushamba : Mbagala wapiga kigodoro kusherehekea ushindi wa Yanga siku 2 mfululizo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,666
218,171
Hivi Mbagala kuna nini lakini hadi watu wawe na ulimbukeni kiasi hiki ? mechi imechezwa Jumamosi lakini vigoma hadi leo Jumapili !

Aibu kubwa sana !

IMG-20210925-WA0035.jpg
 
Ao ndio wananchi wenyewe Wana namnayao ya kurahia maisha, Nyie mnao Kesha club na kufurahia kisasa pia mna uhuru wenu wa kufurahia maisha kwa staili yenu. Kwa ujumla ao wote ni wananchi na wamefurahi.
 
Kama mtu mzima mwenye miaka 30 anasherekea birthday yake sasa kwanini watu wasisherekee ushindi wa kumfunga simba?

Au kuna kifungu chochote katika katiba kimevunjwa kwa kufurahia?
 
Back
Top Bottom