ushakumbana na bidhaa feki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ushakumbana na bidhaa feki?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RealTz77, Nov 3, 2009.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimeanzisha thread hii nikitazamia tutafaidika wengi kwa kuwa makini na huu uchuro na uchafu wa feki zinazosambaa nchini ambazo zinaweza kuwa na madhara makubwa kwa sisi au vizazi vijavyo. Hapa chini waweza orodhesha feki uliyokutana nayo(sio kusikia i beg) ikiwezeka na na nmahali uliponunua, TFDA na TBS kama wanapita huku tutakuwa tumesaidia kuokoa jamii kwa kiasi fulani.
  Mimi naanza na hii
  1. Sabuni za kuogea za Dettol- shoprite, ukioga utadhani wewe ni mchafu kweeli kweli kumbe lisabuni limetiwa rangi ya njano na harufu siku ya kwanza basi!
  2. Biscuit eat sum more
  3. Colgatte tooth paste(ilikuwa ukiswaki ndo unakuwa na harufu mabaya bora kutoswaki kuliko kuitumia)
  .
  .
  .
  ..
  .
  .
  .
  endeleeaa...
   
 2. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2009
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135

  Men!!! This is the high time we should come and Advise TBS how they should be working. kama ni staff ndo wachache kuna watu wengi sana mtaani hawani kazi. my worry is.... Toa kitu kidogo uendelee kuuza bidhaa feki!!
  Hii nchi Bana!! Ngrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
   
 3. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  naamini vfo, magonjwa na mambo mengi yanatupata wananchi kwa kutumia bidhaa feki zisizojali ubinadamu, hapa hela tuu, TBS worse worse damn they are stinking, TFDA(bora kidogo) japo sifahamu control zao zipoje na zinafanyaje kazi kama wanaintercept ubovu wa bidhaa after two yrs sokoni!!
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Jamani, Vifaa vyote vya umeme sasa hivi ni feki, ukianzia kwenye extension cables, sockets, etc
   
 5. Kobe

  Kobe JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 1,756
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Samahani jamani hivi hizi fake fake zitatufikisha wapi wahusika wanaodhibiti hizi bidhaa wako wapi???????
  au watashtuka tuukianza kuzaa BINADAMU FAKE..!
  Tuelezane ukweli manake tunavyokula ni fake,kuvaa fake,vya kuogea fake,viburudisho vya mwili fake,condoms fake,wanakuza makalio fake kila kitu fake,fake,fake fake mpaka wapi wajameni.!?? mi nasubiri kwa hamu kubwa kusikia dada zetu wamejifungua huko mahospitalini watoto fake..1
   
 6. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  teheee watoto fake kibao siku hizi,hujawaona?
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ushindwe na ulegee....
   
Loading...