Hilo dua sawa. Lakini unaelewa pembe za faru ni malighafi ya kutengenezea nini? Millioni200 kwa mnyama pori m1, thamani ya basi la abiria! Kweli nchi hii tajiri.
Ndiyo maana namwomba ai reverse . ....watashangaa wenyewe walahi . .Kuna mtu fulani alikuwa amejaza mapambo ya hizo pembe nyumbani kwake na mwingine alikuwa na kampuni ya kuwinda ..amini usiamini wamekufa wote . .....USIFANYE MCHEZO na MWENYE ENZI MUNGU . ..