Ushaidi

Angekuwa ni John Sr amekufa sijui taifa lingefanyaje?
 
Hili la bwana John huwezi kufanya chenji kota mzee. PM anataka report ya kifo na pembe za marehemu. Yaani daaah ukisikia unoko ndio huu
Watu hawakawii kusema pembe zimeshaoza
 
Hawa majangili wafe na wanao nunua hizo nyara zikawabadilikie kibao zikawape umaskini badala ya utajiri . .magonjwa badala ya afya . .zikawape laana badala ya baraka . ..na iwe hivyo milele mpaka wazichukie kabisa . .katika jina la Yahushua ha Mashaic name Amen RA
 
Yaan kama aliyoongea PM ni kweli watu walipiga mpunga na kimebuma saa hivi.. Basi watu wengi watakuwa kwenye hali mbaya sana
Kuna watu saa hizi wanatamani ardhi ipasuke ghafla wazame then waibuke baada ya kitambo flani kupita
 
Wandugu ule ushaidi kuwa Johnie kafa ni kweli huu hapa. Labda sasa tujipange jivingine. View attachment 444100

Mimi nimefurahi kwa huyu john kufa, mbona wanyama wengi hufa na hatujawahi kuhangaika nao??
Kisa huyu mnyama kaletwa na wazingu ndio tunahangaika nao?? Huyu aliketwa baada ya wakwetu kuisha . Good good hata wanyama wetu wa awali walikua kama huyu. Sasa tujipange namna ya kuwalinda wanyama wote. Haki sawa.
 
Hili la bwana John huwezi kufanya chenji kota mzee. PM anataka report ya kifo na pembe za marehemu. Yaani daaah ukisikia unoko ndio huu
Unoko gani mzee? Unoko kwa waliomuuza au unoko kwa Pm!
 
Hivi huyo John hana jina LA Pili??? Maana naona kama wanafanana majina na John!!! Nadhani tuwe specific
Umechemka kwa sababu haukusikia kauli ya PM kuwabana watu wa "maliasili" kuhusu kuuzwa kwa huyo faru "john". Fuatilia "sosi" ili uende na wachangiaji.
 
Hilo dua sawa. Lakini unaelewa pembe za faru ni malighafi ya kutengenezea nini? Millioni200 kwa mnyama pori m1, thamani ya basi la abiria! Kweli nchi hii tajiri.
 
Unoko gani mzee? Unoko kwa waliomuuza au unoko kwa Pm!

Yani hapo najaribu kuvaa viatu vya wahusika. Lazima wanamuona jamaa mnoko kinoma anakuwa kama vile hajui kabisaaa haya mambo yanavyoendaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…