Ushabiki wa Siasa Tanzania

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923
Arumeru.jpg
Picha yenyewe inajieleza kuhusu umri na hisia za mashabiki hao wa vyama tofauti. Je tuseme picha hii inaelezea 'jana na kesho'?
 
magamba ilishazeeka,ndo mbna hata mwenyekiti wake huwa anakimbilia kuongea na wazee wa dsm kwani ndo tumaini lao pekee.kwishney magamba
 
Chama chochote ambacho mtaji wake umebaki ni vikongwe na siyo vijana, kinachungulia kaburi. Sina uhakika kama hao vikongwe watashiriki hata chaguzi mbili zijazo!
 
Back
Top Bottom