The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,334
- 3,567
Kumekua na kasumba ya watanzania hasa katika siku za hivi karibuni kupinga au kuunga mkono bila kufikiri wala kutafakari kwa kina.
Unakuta mtu hajui chochote kuhusu mteule lakini kapanua limdomo lake kusifia ama kuponda uteuzi husika.
Mimi nashauri tungoje kwanza ili tuje kupinga au kusifia utendaji wa wateule wakiwa kazini tayari mie sidhani kua kuna umhim ata kwa mawaziri watakaoteuliwa kuandaa sherehe na mbwembwe kama ilivyozoeleka ni busara wakapitiliza kazini kwani hali huku mtaani ni dhoofu saana wananchi wanaitaji matokeo.