RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 1,653
- 4,545
HABAR! ladies and gents
naomba niende kwenye mada. Namiliki ka iphone 4 version yake ya ios ni 7.1.2 shda ni ukitaka kudownload vtu vya kawaida tu kama insta, fb etc iphone inakataa ku install na kudai version kubwa ya ios kama 8 na kuendelea.
Naomba wataalam wa hizi iphone old version mnipe namna nyingne ya kuinstal apps hata ziszo support old version maana kasimu ni kakaliii ila kila ktu naingilia kwa dokta google.
sincerely