M.Kwidohya
Member
- Feb 18, 2013
- 61
- 7
salaam sana wa kubwa na wadogo ni matumaini yangu sote ni wazima
nimeamua kuleta maono yangu kwenu kama ndugu na Mtanzania mwenzenu na sikitika sana ndugu zangu kuona tuna potea na kupotoshwa na ushabiki usio na nyuma wala mbele inakuaje leo fisadi tulie msema na kumkemea na kumlani kwa kila maneno adi ya sio kuwepo kwenye kamusi awe shujaaa
inasikitisha sana yule yule tulie mkataa leo ndio kawa kimbilio letu tena mkombozi tunae muandaa kumpa nchi
inasikitisha kuona mtanzania ambaye alitoa chozi tena kwa mayowe leo hii kasahau na anacheka kwa meno yote nnje inaumiza sana wapi sisi tunaenda nani katuloga jamani yani tumekua na akili ndogo kama za kuku inasikitisha sana
kweli ule msemo pesa inaweza kununua imani ya mtu ni kweli leo hii Tanzania ukiwa na pesa wewe ni mungu mtu cha kushangaza adi viongozi wa dini wamesahau maneno yao na mafundisho yao kwamba tusiwape mafisadi nchi leo wapi ao ao ndio wa kwanza kuwaita kwenye alambee zetu za makanisa na misikiti kwa mwendo huu kweli tutafika kweli jamni