Used Samsung s4 for sale in Arusha

Used Samsung s4 for sale in Arusha

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,275
Aakuu nauza simu tajwa hapo juu kwa bei ya sh 450,000 . Dhumuni la kuuza nimenunua simu mpya zaidi. Ukitaka picha ntairltuma kwa whatsaap kwa namba utakayonitumia pm .
Karibuni..!!
 
Tuwasiliane pm kwa watu waliopo serious
 
Simu bado ipo wakuu
 
Dah bila picha mkuu weka picha maana mpaka xaiz nin 300k ukiweka na pcha bs kutafuta inayobak naongeza juhud. Ko weka pcha mkuu
 
Back
Top Bottom