Ni simu moja ambayo imejitosheleza sana. Iko katika hali nzuri kabisa, na iko na applications kibao za ukweli. kama uko interested nicheck kwa 0715 841 111
vyote vipo hivyo mkuu, kuna app. inaitwa ThinkFree office ambayo ni kama min microsoft office, hivyo word,excel, etc. unafungua tu, na pia ina adobe pdf reader.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.