Zungumza mkuu una sh. ngapi? Biahara huria ikiwa itanilipa tutamaliza biashara. RAM si zipo madukani unanunua 4GB mambo kama kawa!!
mkuu hiyo MAC ni muda mrefu sana, yaani imekuwa manufacture 2001 - 2006.. fikiria upya hiyo bei uliyoanzia
zungumza mkuu una sh. Ngapi? Biahara huria ikiwa itanilipa tutamaliza biashara. ram si zipo madukani unanunua 4gb mambo kama kawa!!
mkuu unarahisisha mambo kweli yan, hufanyi upgrading kwa kuamua tu, motherboard huwa zina limit ya size ya memory, hiyo yako nadhani kama ni ku-upgrade, basi maximum ni 2 gb.
Kwanza hiyo bei ni kubwa sana, kwa million 1.5 unapata mac book pro, slim yenye processor kubwa ram 4gb na hdd 500 gb.
Sasa hiyo yako ni legacy system. Angalau ungeanza na 1 mil.
Asante mkuu kwa ushauri wako mzuri wenye busara na ukweli ndani yake. Kwa experience yako airport extreme ukinunua separate unapata kwa sh.ngapi? Nikipata jibu la hili swali na revise bei sasa hivi.