Used laptops bei chee,laki 2,5 na kuendelea

Used laptops bei chee,laki 2,5 na kuendelea

joss1973

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
405
Reaction score
103
Tunauza used laptop toka Marekani, United Kingdom na Dubai , bei rais , tuna laptopa mbali mbali , Dell, Samsungs ,Toshiba bei yetu kuanzia laki 2 na nusu na kuendelea ,
for more information contact 0713959290
 

Attachments

  • laptops.jpg
    laptops.jpg
    104 KB · Views: 334
Tunauza used laptop toka Marekani, United Kingdom na Dubai , bei rais , tuna laptopa mbali mbali , Dell, Samsungs ,Toshiba bei yetu kuanzia laki 2 na nusu na kuendelea ,
for more information contact 0713959290

kama uliyo attach bei gani
 
Tunauza used laptop toka Marekani, United Kingdom na Dubai , bei rais , tuna laptopa mbali mbali , Dell, Samsungs ,Toshiba bei yetu kuanzia laki 2 na nusu na kuendelea ,
for more information contact 0713959290

Weka physical adress.
 
Weka picha na bei tuone....mtu akivutiwa na product anakuja na pesa moja kwa moja akiwa na uhakika wa kununua....sio mpaka aje kuziona hii itaokoa muda.
 
acha uvivu km kweli unataka kuuza.weka product na specification zake,then uweke na bei yake thn km mtu yuko interested ndo apige simu
 
stock ni kumbwa mkuu .tuna laptop nyingi sana .nafasi haitatosha .bei inazia laki 2,5 nakuendelea.unaweza kuja kwenye ofisi zetu zipo kariakoo.au tukawacliana kwa namba 0713959290
 
fungua hata website au blog ili uweke info zote kuanzia bei na picha za kila stock uliyonayo. Itasaidia wengi kupata info kwa urahisi na wao kujipanga vizuri ili wakija wananunua moja kwa moja kuliko kuja dukani kuulizia bei na kurudi tena
 
stock ni kumbwa mkuu .tuna laptop nyingi sana .nafasi haitatosha .bei inazia laki 2,5 nakuendelea.unaweza kuja kwenye ofisi zetu zipo kariakoo.au tukawacliana kwa namba 0713959290

nipe specification za dell ya laki 2.5 naitaka,nipo mbeya hivyo nataka kumwagiza mtu aje kunichukulia hapo
 
acha uvivu weka specs na bei zipo nyingi ndio nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom