gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,375
- 7,217
Mkuu una hp core i7 au i5 na bei inaendaje kama zipo
nimemuuliza kariakoo anapatikana sehem gani hajajibu hapa,mjini tumtembelee tuhakikishe tununue hataki mi napita akilia mtu tutataftana
Kariakoo mtaa gani?
Mkuu una hp core i7 au i5 na bei inaendaje kama zipo
Kama unapicha mkuu,niionehapana kuna dell 6410, inter core i5,2ghz,2gb, 500gb HDD. inaenda kwa 450,000/=
lindi na congo nyumba ipi maana kuna maduka ya dawa tueleweshe vizr tusipotee duka linaitwaje? pale kuna ghorofa ya cream hvi ina ghorofa kumi. halaf ukitaka uwaelekeze vizur waambie kituo cha kongo wasiopajua.sorry kwa hilo njoo junction ya lindi na kongo street
mkuu mimi ni muuzaji tu sijajua upande huo na bosi wetu hua anaagiza contena na tunauza jumla jumla hapa kariakoo