Ukifika huo mzigo wee mwaga hapa,kama ni wa vitu vilivyoenda shule utaishia hapahapa JF ,huna haja ya kutafuta wholesaler !Ok ! Sawa ila kwa sasa tayar Nina Mzigo umetoka uk unaingia Tanzania end of this month ! Nt bad i will chk you ! Thanks ur concern