Used cotton candy machine kwa bei chee

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Ni mashine ya kutengenezea pipi za pamba kwa AJILI ya watoto.

Inafaa kuwekwa mashuleni,kwenye matamasha au sherehe ambazo kuna watoto.

Matumizi take ni rahisi sana na INA leta faida nzuri tu ukifanyia biashara.

Bei:35O,OOO/=
Contact O78862261O
Niko dar es salaam(mwananyamala)
 
Naonaga kwenye tamthilia za mexico wanakulaga..hadi hua nashangaa hawa wanakula pamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…