A Aluta Member Joined Aug 16, 2008 Posts 69 Reaction score 3 Aug 23, 2012 #1 Habari zenu waungwana, naomba kuuliza kwa mwenye taarifa;Je ni kweli kuwa TRA wamepunguza miaka kuwa gari likiwa ni zaidi ya miaka saba unapigwa penalti?maana zamani nakumbuka ilikuwa ni miaka kumi kwenda juu..tafadhali naomba taarifa
Habari zenu waungwana, naomba kuuliza kwa mwenye taarifa;Je ni kweli kuwa TRA wamepunguza miaka kuwa gari likiwa ni zaidi ya miaka saba unapigwa penalti?maana zamani nakumbuka ilikuwa ni miaka kumi kwenda juu..tafadhali naomba taarifa