Used A-Level Books for Sale

MasterChief

Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
29
Reaction score
6
Vipo vitabu vya Pure Mathematics, Geography, History pamoja na English kwa ajili ya wanafunzi wa form 5&6. Vitabu vimetumika, ila vipo katika hali nzuri.

Bei:
Pure Mathematics 1 = 25,000
Pure Mathematics 2 = 25,000
Principles of Physical Geography = 30,000
Practical Geography for Africa = 25,000
Human and Economic Geography (Revised Edition) = 10,000
History Paper 1 Notes + Paper 2 Notes = 16,000
Advanced Level English + Language 2 = 16,000
Human and Economic Geography = 5,000
A History of East Africa = 15,000

Ukivihitaji, usisite kunijulisha.

Kwa mawasiliano zaidi 0736666999

Karibuni sana.


 
Pure 1 & 2 nakupa 30 cash

Nikiwa navyo katika maktaba yangu sio mbaya
 
Hawa watoto wasahivi wanaweza jua hizi nondo kweli? Sahivi mzazi ndie anatafuta vitabu watoto walizimishwe kusoma.. daah maisha haya .. siku hizi hata ukiacha kitabu hawaibi.. wakati sisi tuliiba haswaa
 
Maisha yamebadilika mkuu, siku hizi watoto wanataka simu janja.
 
Hawa watoto wasahivi wanaweza jua hizi nondo kweli? Sahivi mzazi ndie anatafuta vitabu watoto walizimishwe kusoma.. daah maisha haya .. siku hizi hata ukiacha kitabu hawaibi.. wakati sisi tuliiba haswaa
Majukumu ya mzazi yalikuwa ni kulipa ada tu na kusubiri matokeo ya 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…