mpondamali
JF-Expert Member
- Sep 5, 2011
- 502
- 176
Unafikiri ikifika huko wewe utapona? Ni jambo baya sana kuliombea mabaya taifa lako.Na bado, itafika hadi laki kwa dola moja.
Ya Zimbambwe taratibu yanahamia kwetu.
Hapana bwana!! Uchumi unakua kwa kasi ati... Unacheza na awamu ya kununua ndege cash wewe?? Soon tuna kwenda kuwa Taifa linalo toa misaada kwa mataifa mengine..Na bado, itafika hadi laki kwa dola moja.
Ya Zimbambwe taratibu yanahamia kwetu.
Yawezekana nisipone, lakini mimi sina namna ya kuzuia tusifikie huko, tuliowapa dhamana ya kutuongoza kwakujua ama kutokujua walifanyalo haya ndio matokeo yake.Unafikiri ikifika huko wewe utapona? Ni jambo baya sana kuliombea mabaya taifa lako.
Haliombei vibaya taifa bali anatoa angalizo tu kwa wahusika wangalie walipojikwaa.Unafikiri ikifika huko wewe utapona? Ni jambo baya sana kuliombea mabaya taifa lako.
Yeah kutokana na mabiliko mengi kutokea duniani,vita dhidi,ukame,mabadiliko tabia nchi na hali ya hewa...lkn Bado tumeshindwa kwenda speed kiuchumi Wa dunia tuliyonayo kwa karne hii...Ina maana watu hatutaki kuangalia trend ya UDS Vs TSH au shida iko wapi?
Dec 2005: 1$= Tsh. 1016
Dec 2010: 1$= Tsh. 1493.91
Dec 2012: 1$= Tsh. 1573.46
Dec 2015: 1$= Tsh. 2159.07
Dec 2017: 1$= Tsh. 2180.01
Nov 2018: 1$= Tsh. 2298.40
Ni wapi tangu 2005 shilingi ilikuwa strong Vs dollar?