Usb Pic microcontroller programmer software.

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
623
Reaction score
268
Natafuta software tajwa hapo juu kwan niliyonayo haina baadh ya pic kama pic18f887. Mwenye link naomba aniwekee hapa tafadhal niweze endelea na maprograming kwani nimekwama kwa sababu hiyo.
 
chukua hapa uendelee na hayo maprograming yako <a href="http://sourceforge.net/projects/usbpicprog/" target="_blank">usbpicprog: Simple USB PIC programmer | Download usbpicprog: Simple USB PIC programmer software for free at SourceForge.net</a>
<br />
<br />

thanx fatma, ngoja nidownload niitest. But hii ni compiler au ni ya kuunguzia designed software katika pic microcontroller? Coz nilkuwa nataka ya kuburn software ktk pic microcontroler.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…