USB not recognized

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Husika kichwa cha habari hapo juu Nina PC yangu I.3core new model HP nimenunua hata wiki hajakata bei 1.3million ila nimepiga window 7 sasa nikichomeka USB ili niconnect internet ya smart phone inasema USB not recognized. Sijui shida nini wakuu
 
jaribu ku update USB drivers
 
Jaribu port nyingine inaonekana usb cable yako ina shake ,ikishindikana reboot pc yako
 
Jaribu port nyingine inaonekana usb cable yako ina shake ,ikishindikana reboot pc yako
Yaan nikiweka flash inasoma lkn USB ya connect internet inasema hivo.sasa reboot c nafuta window mkuu
 
Mkuu jaribu USB zingine, huenda hiyo USB ikawa ndio tatizo.
 
Yaan nikiweka flash inasoma lkn USB ya connect internet inasema hivo.sasa reboot c nafuta window mkuu
Ku reboot ni ku restart mkuu

Lakini pia jaribu na ushauri wa aleyn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…