SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,280
Hallo wataalamu wa jukwaa hili. Nawasalimu wote. Kwa kuwa njia ya usb ni nzuri sana kwa kuunganisha device nyingi kwenye kompyuta, nimenunua usb hub yenye port 4. Lakini ninapoiunganisha kwenye kompyuta yangu ninapata message inayosema: "Cannot recognize the device" Nimejaribu kwenda kwenye device manager kuangalia kama kuna tatizo la drivers na kukuta hakuna shida.
Kompyuta yangu inatumia os ya windows xp.
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa tatizo hili la kukataliwa kwa usb hub.
Asanteni.
Kompyuta yangu inatumia os ya windows xp.
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa tatizo hili la kukataliwa kwa usb hub.
Asanteni.