Usb device malfunctioned(not detected)-code 43

The Dude

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
1,029
453
Hi wataalam,
Simu yangu ni LG X330T..
Saivi nikiconnect usb cable yake haidetect..yani,inaonesha charging lakini haileti ile option ya file manager ama com port..halafu kwene laptop inatoa ujumbe usb device malfunctioned..

Historia kabla ya tatizo hili:
kwanza charger ilianza kubuma ikanambia warning:bad charger contact kila nikichaji.
Nikawa natumia usb cable kuchaji vizuri..lakini baadae na yenyewe ikaanza kunipa ujumbe huo huo.

Sasa hivi sasa ndo hata kudetect ili nichei files au comport kwa pc suite haitaki.

I need your help,
Thank you in advance.
 
1, hahikisha kwa mobile yako ume-enable 'mass storage'
2, simu nyingi huitaji drivers kwa mara ya kwanza, ni vyema kama umeistall pc suite
3, kama tatizo linaendelea jaribu kutumia cable nyingine au pc nyingine kwa cable hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom