Mkuu huu sio mwanzo bali ni mwendelezo, kumbuka mfumo wa Digitali ulianza toka mwaka 2010, lakini hali bado ni mbaya sana.Mara nyingi mwanzo huwa ni mgumu lkn mwisho wa siku tutazoea na kusahau matatizo yote. Nawaunga mkono tcra tena nataka wahamie na kwenye simu haraka iwezekanavyo.
*Kwa muda sasa Wananchi wa tanzania wamehimizwa kwa kiasi kikubwa sana na mamlaka ya mawasiliano(TCRA) wachukue hatua ya kununua ving'amuzi kwa ajili ya kuhamia mfumo wa Digitali.
*Tarehe 31/12/2012 saa sita usiku ilikuwa ni siku rasmi ya kuzimwa mitambo ya Analogia kupisha mfumo mpya wa Digitali.
Lakini yaliyotokea na yanayoendelea kutokea ni usanii mkubwa.
*Maafisa wa TCRA wamekuwa wakizunguka nchi nzima wakiwapa watu hadithi tamu(njozi?) inayoitwa Digitali, yaani wakisema huu ni mfumo NAFUU(Cheap and Easy), UBORA(Picha na sauti), MPANA(Large Coverage and Multi Channels)
Lakini badala yake wananchi wengi wameshuhudia mambo ya tofauti kabisa, kwa mfano
1/GHARAMA KUBWA(Ununuzi wa Ving'amuzi na gharama zingine za malipo)
2/UHAFIFU(Upatikanaji wa picha na sauti umekuwa na matatizo mpaka kufikia ulazima wa kutumia antenna tena)
3/UFINYU(Bado sehemu chache sana ndio zinazoweza kupata hayo matangazo, na kuna local channel nyingi sana ambazo haziko hewani tena!!)
*Kuna sarakasi nyingi sana ambazo TCRA inaendelea kuzifanya sasa, kwa mfano mpango wa kuzima mitambo ya Analogia ulikuwa wa nchi nzima kwa wakati mmoja ila sasa ni kwa awamu tena umeanzia Dar pekee(Majaribio?) kwanini?
bado naona ni kosa jingine la ccm.yaani tumekurupukia sera bila kuangalia mazingira,elimu,uchumi wa wananchi wetu ambao wengi ni wakulima.Whether kwa kujua au kutojua, digital migration has enhanced digital divide kwani ni watanzania wachache sana ambao wataweza afford kununua ving'amuzi, let alone afford extra costs za umeme to power ving'amuzi; unless serikali ije na some sort of of subsidy kwa wananchi wasio na uwezo au itengeneze mazingira yenye ushindani mkali zaidi ili bei ya ving'amuzi iwe chini, otherwise the majority wont enjoy digital justice, watakuwa ni watu wa kuhadithiwa tu bungeni kumejadiliwa nini n.k;
Licha ya umuhimu wa digital migration, bila ya uangalifu, suala hili litakuwa politicized na kupewa tafsiri kwamba ni mpango wa serikali to control media kwa umma; kwa vile sehemu kubwa ya umma ni illiterate na pia kwa vile serikali haikufanya awareness raising ya kutosha kama kwa mfano wenzetu wa Kenya, sehemu kubwa ya umma utakubaliana na hoja nyingi za kisiasa katika hili;
Mkuu hapa ungetufafanulia usanii upo wapi? mikoa iliotajwa analogia si imezimwa au?*Kwa muda sasa Wananchi wa tanzania wamehimizwa kwa kiasi kikubwa sana na mamlaka ya mawasiliano(TCRA) wachukue hatua ya kununua ving'amuzi kwa ajili ya kuhamia mfumo wa Digitali.
*Tarehe 31/12/2012 saa sita usiku ilikuwa ni siku rasmi ya kuzimwa mitambo ya Analogia kupisha mfumo mpya wa Digitali.
Lakini yaliyotokea na yanayoendelea kutokea ni usanii mkubwa.
*Swala la gharama nadhani elf 9 kwa mwezi wamejitahidi sana maana mfumo huu si bure kama analogia na pia ving'amuzi havitolewi bure jamani wala si kazi ya TCRA kupanga bei,.....ni swala la muda tu bei sokoni itabalance tu...kumbua mobile zilipoanza kuingia*Maafisa wa TCRA wamekuwa wakizunguka nchi nzima wakiwapa watu hadithi tamu(njozi?) inayoitwa Digitali, yaani wakisema huu ni mfumo NAFUU(Cheap and Easy), UBORA(Picha na sauti), MPANA(Large Coverage and Multi Channels)
Lakini badala yake wananchi wengi wameshuhudia mambo ya tofauti kabisa, kwa mfano
1/GHARAMA KUBWA(Ununuzi wa Ving'amuzi na gharama zingine za malipo)
2/UHAFIFU(Upatikanaji wa picha na sauti umekuwa na matatizo mpaka kufikia ulazima wa kutumia antenna tena)
3/UFINYU(Bado sehemu chache sana ndio zinazoweza kupata hayo matangazo, na kuna local channel nyingi sana ambazo haziko hewani tena!!)
mkuu unaishi Tz kweli?Mkuu hapa ungetufafanulia usanii upo wapi? mikoa iliotajwa analogia si imezimwa au?
*Swala la gharama nadhani elf 9 kwa mwezi wamejitahidi sana maana mfumo huu si bure kama analogia na pia ving'amuzi havitolewi bure jamani wala si kazi ya TCRA kupanga bei,.....ni swala la muda tu bei sokoni itabalance tu...kumbua mobile zilipoanza kuingia
*Swala la ubora wa sauti na picha kiukweli huwezi kabisa kulinganisha na analogia ukiondoa kasoro ndogo ndogo za matangazo kukata kata kutokana na ugeni wa mfumo
*Swala la large coverage and multi channel pia si usanii, hapa inapaswa kujua kuna ving'amuzi vya fta vinapokea kwenye minara kwa antena na pia kuna ving'amuzi vinapokea kwa setelaiti unavyoweza kuona ukiwa popote pale nchini na channel ni nyingi ingawa zinaweza zisiwe za kukuvutia
*Swala la antena halimaanishi hii ni analogi au digitali
*Swala la local channel kutokuwa hewani ni wao kujiunga na warusha matangazo tu, maana TCRA wametoa mwongozo stations 5 ambazo ni itv eat startv tbc na channel 10 ni lazima zionyeshwe kwenye ving'amuzi vyote tena bure kabisa na ndio maana ukienda zuku,startimes na ting unazikuta
stations zingine zitachagua zenyewe king'amuzi cha kujiunga kwa makubaliano ya kibiashara
*Swala la kuzima analogia nchi nzima kwa wakati mmoja isingewezekana na hii ni kutokana na uwezo mdogo wa mashirka yetu ya utangazaji kutransform to dijitali tanzania nzima. sipati picha kama wangezima kote maana ingekuwa ni vilo balaa
tunapaswa kujua kwamba swala la kuhamia dijitali ni makubaliano ya lazima ya kidunia na TCRA ni msimamizi tu wa kutoa maelekezo kwa wenye vyombo vya habari kutekeleza takwa hili...lakini sasa gharama zote za kuhamia dijitali ni mzigo wa wenye mashirika ya utangazaji na hapa sasa ndio ugumu unapoingia
maana wao wapo kibiashara zaidi, wao ndio wanaonunua hiyo mitambo sio TCRA na wao ndio wanaiendesha na si TCRA. sasa wakati mwingine huwezi kuwaforce sana na ndio maana wanaenda kwa awamu kujali maslahi ya wananchi pia
Ni swala la muda tu kila kitu kitakuwa sawa kama ilivyokuwa kwenye mitandao ya simu tulipokuwa tunauziwa 500 kwa dk hata ukiongea sekunde lakini sasa kwa sh 400 unaongea dk 15, sms 100 na mb 50
mkuu unaishi Tz kweli?
Ndugu yangu unakataa nini na unakubali nini?Mkuu hapa ungetufafanulia usanii upo wapi? mikoa iliotajwa analogia si imezimwa au?

kichoongelewa ni garama kubwa na huduma mbovu,tofauti hali halisi hatuitaji mazoea,je unaweza kula sumu na ukasema nitazoeya?