Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,182
- 4,176
Wewe wasema, alieshiba hamjui mwenye njaa. Hiyo hapo chini ndio hali halisi iliyopo vijijini, sasa kaya kama hizo zikipatiwa ruzuku bado unasema ni upotevu wa kodi. Hao wote ni watanzania wanamuangalia rais wetu wa wanyonge Mh. Magufuli. Acha serikali ifanye kazi. Sio yote ya kupingaWanufaika wengi ni watu wavivu.matumizi ya hovyo kabisa ya hela za kodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Tasaf wanatoa pesa serikalin wanagawa au ni pesa ya wa fadhil wanagawaMimi pia ni mpinzani, lakini kwa hili la TASAF naipongeza sana serikali. Iliona mbali, wamana walikua wanaogopa hata kupeleka watoto clinic, hata nguo za kujifunga hawana. Acha kubeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm siomnufaika wa TASAF bali nimeona watu wanavyohangaika na mgambo kurudisha hela. Alafu mpango huu wame fill majina kwa kuangalia kujuana na hali ya kisiasa mf: mwenye watoto watano anapata 30000 na asiye na mtoto anapata 56 elfu. Ukifuatilia unaambiwa kwanza tutakutoa kwenye daftari la kudumuMkuu yani una smartphone na bado hela ya TASAF unalamba, amakweli ufisadi hauwezi kuisha!

kusafiKwanza nianze kuwatakia usiku mwema kwa wote waliolala mda huu na Habari kwa wote walio macho.
Kama heading inavyo state, TASAF ni mfumo wa kisiasa zaidi. Siku ya kugawa hela ni kama siri flani hivi wanafanya. Wengi wanapata taarifa kwa kushitukiza hivyo basi waliokuwa mbali wanakosa. Mgao ni mmoja na wa siku moja tu.
Sijajua kwanini wasiweke siku zaidi ya mona. Kuna kipindi foleni kubwa yaani muda hautoshi sasa wakifunga ndio basi hadi Mgao mwingine.
Sijajua hela zinaenda wapi zinazobaki. Lakini kilichonishangaza leo ni kuwa mgao umekuwa mkubwa sana yaani watu wamepewa pesa ndefu. Je, watu watatakiwa warudishe pesa ili waliokosa wapewe? Sijui ilikuaje hadi wamebugi.
Raia wanapiga nyama tu na pombe. Watendaji wanahaha kutafuta watu. Hela zimeisha ilihali wengi wa waliojiandikisha hawajapata.
Ni kweli, hilo tayari lilishaanza kwa baadhi ya Halmashauri. Taarifa za uhakika ni kwamba huo ndio utaratibu utakaotumika kuanzia awamu ya pili.kusafi
yaani BADO wanagawa pesa mikononi kama kashata ? iyo njia sio salama sanaaa ningewashauri watumie njia mbadala kwa kuwapatia fedha wanufaika wa TASAF III mfano kwa kutumia njia ya M pesa, Tigo pesa na mitandao mengine kwa kufanya hivyo itawapunguzia cost wao kama watendaji wa TASAF kusafiri safiri kwenda location, Pia kuondoa manung'uniko kama hayo. Asante ushauri wangu ndio huu najua wapo watu wa TASAF humu
Ni kweli, hilo tayari lilishaanza kwa baadhi ya Halmashauri. Taarifa za uhakika ni kwamba huo ndio utaratibu utakaotumika kuanzia awamu ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisarawe, Kibaha, Bagamoyo..., na nyingine kama 10 hivi. Huwa nawafatilia sana, ingia website yao utaona. Wako vizuriokay samahani mfano wa izo halmashauri wazotumia mobile banking ?
Mkuu yani una smartphone na bado hela ya TASAF unalamba, amakweli ufisadi hauwezi kuisha!
Sent using Jamii Forums mobile app