mkuu, hakuna kuchakachua. walimu ndio walikuwa wakishirikiana na CCM kuchakachua lakini sasa wamekata tamaa.
Usanii wa serikali sikivu ya CCM kwa watanzania ndio utakaochangia kwa kiasi kikubwa kuing'oa madarakani mwaka 2015. Kila mtu ni shahidi jinsi serikali hii inavyowadhihaki watanzania ktk mambo muhimu yanayohusu maisha na ustawi wao.
Katika sherehe za mei mosi mwaka huu, Mh Dr Jakaya Mrisho Kikwete aliahidi kuongeza mishahara ya wafanyakazi na kupunguza kodi ya mishahara (PAYE) hadi tarakimu 1. Kilichotekelezwa ktk bajeti hii ya serikali, kila mtu anakijua.
Ni dhahiri kwamba serikali ya CCM imefikia hatua mbaya ya kuwadhihaki na kuwadharau wafanyakazi, pamoja na mchango wao mkubwa ktk maendeleo ya nchi hii. Mtakumbuka mwaka jana rais JK aliitisha mkutano na makada wa CCM, aliowabatiza jina la 'Wazee wa Dar es Salaam', ambapo alitumia mkutano huo kuwananga wafanyakazi kwa kutamka hadharani kwamba HAHITAJI KURA ZAO!
Naomba nimkumbushe JK kuwa ni wafanyakazi hao hao WENYE NJAA ndio watakaoiangusha CCM yake mwaka 2015. Uzezeta wa wafanyakazi (hasa walimu) sasa basi--ni wakati wa JINO kwa JINO!
Nawasilisha.

Mkuu hatuhitaji kura yako
....kwa hawa wafanyakazi wa kitanzania hakuna kitu!,ndio rais aliahidi kupuza PAYE hadi single digit sawa lakini amepunguza kutika 13% hadi 12% but wako kimya....kile chama chao maneno matupu bwana,ukombozi wa nchi hii ni lazima wanaume twende mistuni bwana.
Acheni kujidanganya, CCM haiwezi kuondoka madarakani hivi karibuni, irrespective of anything!
Waalimu wanakipenda sana chama cha mapinduzi na hata wafanyakazi wote. Chadema imekuja kuwaharibu hivi karibuni kwa kuwachochea wafanyakazi wagome na kufanya maandamano mfano mgomo wa madaktari
Nawakilisha maoni ya watanzania wengi ambao bado hawajaona mbadala wa CCM.Hivi wewe ninani hata useme ccm hawatoki, just a single person au na wewe umekua mnajimu
Nawakilisha maoni ya watanzania wengi ambao bado hawajaona mbadala wa CCM.
We naye unaonce a pumba tu!