Usani usani mtupi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usani usani mtupi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyengo, Apr 11, 2011.

 1. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hata wana ccm wenyewe hawawezi kuamini usanii uliofanyika dodoma wiki jana. Atamfukuzaje lowasa wakati wa kampeni alidai kuwa ni mtu safi na apewe ubunge?
  kama kikwete kamfukuza el sababu ya ufisadi, sasa kwa nini takukuru isimfikishe el mahakamani?
   
 2. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Ni rafiki yake hawezi kumwitia kukuru-kakara bora amweke pembeni kwa muda.
  Hata RA naye ni wale wale tu
   
Loading...