Usaliti

hayaa baba ila sio wote wna ujasiri wa kushuhudia kitumbua chake kinavotafunwa
Inataka moyo sana[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Lasivyo piga moyo konde uendelee na mpenzi wako, uvumilie tu ndo changamoto hizo na ndo ukubwa. Ukisikia kuwa uyaone ndo hayo mkuu.
 
MIMI huwa naenda bafuni nalia sana...kisha naoga huku nikiuambia moyo wangu kuwa maji haya yanaposafisha machozi yangu yaende yakausafishe na moyo wangu usibakize ata chembe ya maumivu na kumbukumbu za aliyenisariti...kisha naoga na kwenda kutembea sehemu mbali mbali...ila huwa sinywi pombe wala kutumia kilevi chochote kipindi hicho cha maumivu...baada ya hapo nakula sana...nakunywa maji kwa wingi...nasamehe kabisa na ata ikitokea bahati mbaya nikikutana na x wangu huwa namchangamkia sana hadi wengi huwa awaamini kama tumeachana...nasikiliza sana mziki...sijawahi kubadilisha namba ya simu eti kwa sababu tu aliyenithariti asinipate hewani eti nikiiona namba yake naumia nooo...huwa napokea msg na simu za ma x wangu wote na nachat nao kadri ya uwezo wao...
kwakuwa niliwahi kuumizwa sana hivyo nilijifunza kukubari matokeo na nililinganisha USARITI na kushindwa katika mitihani...mara nyingi mtu anapofeli basi kuna kitu huwa amekosea hivyo hujipanga upya kufanya mtihani mwingine.
 

Dude grow some balls. Acha tabia za kipunga. Wanawake wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…