Jaman nn hatua njema ya busara ya kuchukua pale mpenz wako anapokusalit??
Pole sana mkuu.
Je, ww bado unampenda? Km ndiyo inapendeza
Je, yy anakupenda? Km ndiyo au hapana.
Km ndiyo unaweza kumsamehe na kurekebisha wapi ulipokosea.
Km unaona moyo wako ni mzito kumsamehe na unataka kumuacha. Nitakupa adhabu ya kumfanyia hata kusahau maisha yake yote.
HII ADHABU HATAWEZA KUKUSAHAU MILELE
Muite mueleze A-Z juu ya usaliti wake, onyesha ww ndiyo km umesababisha yy kuchepuka. control hasira. Mueleze kuwa umemsamehe.
Sasa hakikisha asubuhi, mchana na usiku umemjulia hali, umemtumia vizawadi na unamtoa out.
Onyesha unampenda sana, ikibidi mtambulishe kwa ndugu zako na marafiki zako. Kila upatapo muda mtoe out na umnunulie zawadi. Ikibidi nunua na pete ya uchumba kbsa.
Km umepanga mpe na ufunguo kbsa, awe anaenda getho anavyotaka, siku za ibada mwende wote kanisani au msikitini.
Baada kuona keshalowa kwenye mapenzi kbsa. na keshajiridhisha kuwa mnaenda kuoana.
Piga chini, mblock kbsa, badilisha vitasa au mnyang'anye ufunguo. Vuta manzi ambaye unaona anafaa oa.
Hii adhabu hatakusahau ktk maisha yake na utamuachia maumivu sana
JAPO ITAKUCOST LKN NDIYO ADHABU MBADALA AMBAYO ITAMUACHIA MAUMIVU ILA KM UNATAKA SHORTCUT UNAWEZA KUMUACHA KIKAWAIDA.
Ila kwa adhabu ya hapo juu na kwa jins wanaume wengi walivyovurugwa atakukimbuka milele