Ase ht km wajitahd vip ka n taba ya mtuu aez tulia
huyo dada n gwiji hata hofu hkn na walomchagulia nao jmn :what:😕 duuu yan 2 months na kuchepuka ..... km haridhishwi na mmewe c anamwmbia xa kuchepuka ndo nn.....
Wanaume wanaotafutiwa wake uwa wanakuwa wamezubaa fulani hivi...
Labda ndio maana bidada kamkumbuka ex wake...
Utatafutiwaje mke bana na wanawake wamejaa kila kona...
Wanaume wanaotafutiwa wake uwa wanakuwa wamezubaa fulani hivi...
Labda ndio maana bidada kamkumbuka ex wake...
Utatafutiwaje mke bana na wanawake wamejaa kila kona...