Usaliti katika ndoa

mwakwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
789
Reaction score
290
Nimeombwa ushauri, na mimi naleta kwenu wanaukumbi, kijana ameoa mke wa kutafutiwa na wazee kabla ya kuoa aliongea na binti wakakubaliana, wakaoana.

Miezi miwili tu mdada akatembea na mpenzi wake wa zamani, mume akajua, mdada akaomba msamaha kuwa shetani tu alimpitia na kuahidi kutorejea tena, suala je ni kweli upo uwezekano wa huyu mdada kubadilika endapo atasamehewa?
 
Ndiyo, upo uwezekano huo!

Na hapo asianze kuwaza eti kwa kuwa alitafutiwa ndiyo maana mke anafanya huo uhuni..si waliongea na kukubaliana kabla!??
 
uwezekano upo mkubwa sana dada kuacha ,... jamaa aulize ni wapi anakosea ndiyo suluhu
 
uwezekano upo mkubwa sana dada kuacha ,... jamaa aulize ni wapi anakosea ndiyo suluhu

Hakuna kosa kwa kuwa mdada hajasema mume alokosea nini? Mawazo yangu mdada alitaka kumridhisha mpenzi wake wa zamani sijui ni farewell au ndo alivyopanga
 
Hakuna kosa kwa kuwa mdada hajasema mume alokosea nini? Mawazo yangu mdada alitaka kumridhisha mpenzi wake wa zamani sijui ni farewell au ndo alivyopanga

huwezi jua wewe kunakukosa kula mzigo ipasavyo achana na makosa ya kawaida ila kukunwa hpo ndiyo dada afunguke
 
Suala la kubadilika ni kumwomba Mungu kwa kweli kwa sababu utayari wa kubadilika anaomoyoni mwake huyo muhusika je ni kweli ametubu kutoka moyoni au alikubali tu kuolewa lakini hakumpenda mshikaji kiivyo alitaka kusafisha nyota au ni kweli shetani alimpitia na amegundua kosa lake majibu yote anayo yeye muhusika. Jamaa ampe nafasi nyingine labda katubu kweli kutoka moyoni, tabia ni kilema haijifich maisha
 
Asante dada kwa majibu mazuri na ya kutia matumaini
 
Hakuna kosa kwa kuwa mdada hajasema mume alokosea nini? Mawazo yangu mdada alitaka kumridhisha mpenzi wake wa zamani sijui ni farewell au ndo alivyopanga

Hakuna cha wazamani hapo ukibali ndoa sahau wa zamani walau mwaka
 
Hakuna ndoa hapo,kila mmoja ke na me anajua kataftiwa.Mke utafute mwenyewe.siyo mke wa kutafutiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…