Kwakuwa utakuwa umeshazaa naye watoto si vema kumurudisha makwao. Jitahidi kufanya kama alivyokufanyia. Kuanzia ulipogundua anza kutembea na kila mwanamke anayekuvutia hata kama ni dada yake, mamake, shangazi yake, wifi yake au rafiki yake na kama ana kaka shoga wee twanga tuuuu akikuuliza kulikoni mwambia ulianza wewe mimi namalizia.
Mmh na nyie mnajiona Kama miungu watu! Hata nyie ni pasua vichwa balaa ukiamua kuoa au kuolewa unajipanga kwa lolote maana ndoa ni kaburi la mapenzi!
kwani humsikilizagi ??
Karibu mwanza
Nakubaliana na wewe kwamba katika Biblia, ni jambo moja tu ambalo kwa hilo ndoa imeruhusiwa kuvunjika nalo ni zinaa.
Naomba ieleweke kwamba mmke anaweza kumuacha mume kwa zinaa vilevile.
Na hapo ni kama msamaha utashindikana kwa sababu biblia hiyohiyo inatufundisha kusamehe na kuwa na upendo bila kuhesabu mabaya.
Nafikiri katika makosa yote hili la kusaliti linakua gumu kusamehe lakini haimaanishi haiwezekani kusamehe.
Mwisho kabisa, hakuna jibu linalotosheleza mazingira yote ya nini kitatokea, unweza kusema utaua mtu na usifanye hivyo, unaweza kusema utamwacha mme/mke wako na usifanye hivyo, unaweza kusema utamsamehe na ukampiga na kumwacha juu. Mazingira ya wakati huo yanachangia sana kuamua nini kinafanyika.
Cha msingi tu ni kujua kwamba usaliti wowote ule kwa mme/mmke una madhara makubwa sana kwenye mahusiano.
Hivi unajua nimekumiss sana hadi nasikia kuumwa?Mzima Filipo?
Vitu vingine ufanye kwa nafsi yako na kujihurumia tu! Sasa hapo si unajikomoa tu! Ukienda kuyavaa magonjwa huko!!
mkuu hapa lazima utazawadiwa nishani ya Ukimwi...
kweli mkuu ila kuna sometimes inatokea unapiga kwa open shoes yaani bila buti..utata ndo unaanzia hapo.Mkuu kondomu ikitumiwa vizuri hakuna UKIMWI!
Na utakapogundua mmeo mpendwa anakusaliti na akaomba msamaha utafanyaje?:angry: Kila siku naona mke mke lloooooh
Mi mwenyewe ni msaliti mzuri tu wa ndoa yangu lakini sijawahi kukamatikwa, sasa sijui nikikamatikwa itakuwaje? Na ninafanya hivyo makusudi ili niachane na huyu mume niliyenae maana kila wakati namwambia tuachane hataki.
Asante my dear! Baada ya ujio wa pamaja kupata ukakasi, I'm looking foward to come alone!
cc: charminglady
Pamoja sana! Ila hapo kwenye red embu funguka zaidi!
Oooho thanks Honey! Me too... Nimerudi sasa, utaniona ona!