mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Habari za leo wakuu.
ningependa kufahamu usalama wa data zinazohifadhiwa kwenye Google account kwa watumiaji wa simu za Android. Hawa watu hawawezi kuzitumia vibaya kweli mfano kwa hawa watu wakubwa/viongozi na maarufu?
kama we una data nyeti hivyo
1.android haikuhusu
2.tafuta NAS server yako mwenyewe
Aiseee kumbe ni hatari hivyoKama una mashaka hayo bora uache kutumia internet, ukweli ni kwamba chochote kile kilichopo kwenye cloud kinaweza kua manipulated, sio Google, sio NSA, Facebook wala nani, ndo how computers operate, wanaweza weka security kali sana ila kama tuseme government ya US inataka data zako kutoka kwenye email fulani, wakitaka wanazipata tu
Kumbe ni kweli afu nasikia facebook nayo wanaicontrol CIA na ndio yenye watumiaji wengi sana dunianikama we una data nyeti hivyo
1.android haikuhusu
2.tafuta NAS server yako mwenyewe
Naomba maelezo ya hio namba mbili tafadhali
NAS (network attached storage) hii inakuwa ni storage yako mwenyewe kama vile google drive au one drive au dropbox lakini badala ya data zako kukaa marekani kwenye server zao zinakaa nyumbani kwako. unanunua kifaa hiki
inakuwa ni kama desktop lakini ina sehemu nyingi za kuekea hard disk, hivyo unaunganisha simu za nyumba nzima kama kuna laptop nk backup za nyumba nzima zinakaa pamoja.
na kuna kitu kinaitwa RAID ( redundant array of independent disks) hii inakuwa hard disk nyingi zinaunganishwa kuwa kitu kimoja, hivyo hata ikitokea siku hdd yako moja imeharibika hutopoteza data zako
NAS yenye RAID ndio mpango mzima kama unataka watu wasi-spy data zako.
bei inategemea na idadi ya hdd unazotaka niliwahi ona moja kkoo ya single drive 120,000. ila pia unaweza geuza desktop kuwa NAS server kuna open source project za kufanyia hivyo
Usalama wa data ukoje endapo kikiibwa
Broo naomba fafanua vema jinsi ya kuunganisha kati simu na nas.natanguliza shukranNAS (network attached storage) hii inakuwa ni storage yako mwenyewe kama vile google drive au one drive au dropbox lakini badala ya data zako kukaa marekani kwenye server zao zinakaa nyumbani kwako. unanunua kifaa hiki
inakuwa ni kama desktop lakini ina sehemu nyingi za kuekea hard disk, hivyo unaunganisha simu za nyumba nzima kama kuna laptop nk backup za nyumba nzima zinakaa pamoja.
na kuna kitu kinaitwa RAID ( redundant array of independent disks) hii inakuwa hard disk nyingi zinaunganishwa kuwa kitu kimoja, hivyo hata ikitokea siku hdd yako moja imeharibika hutopoteza data zako
NAS yenye RAID ndio mpango mzima kama unataka watu wasi-spy data zako.
bei inategemea na idadi ya hdd unazotaka niliwahi ona moja kkoo ya single drive 120,000. ila pia unaweza geuza desktop kuwa NAS server kuna open source project za kufanyia hivyo
Broo naomba fafanua vema jinsi ya kuunganisha kati simu na nas.natanguliza shukran