Usalama wa ajira

ong'wafaza

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
245
105
Wana JF naomba kufahamu:
Hivi usalama wa ajira (security of employment) ukipungua mfanyakazi anapungukiwa na morali (motivation) ya kufanya kazi au anaongeza bidii zaidi ili kujihajengea uhalali wa ajira yake?
 
Umeajiliwa unataka usalama tena?bind to your contract otherwise kama unahisi employer ame breach nenda labour court
 
Back
Top Bottom