kingfish JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 571 Reaction score 159 Jun 13, 2012 #1 Naomba maoni yenu. Attachments BODABODA.jpg 21.5 KB · Views: 211
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,965 Jun 13, 2012 #2 kingfish said: Naomba maoni yenu. Click to expand... Maisha bora kwa kila mtanzania!!! Ari zaidi, nguvu zaidi na kwa kasi zaidi!!
kingfish said: Naomba maoni yenu. Click to expand... Maisha bora kwa kila mtanzania!!! Ari zaidi, nguvu zaidi na kwa kasi zaidi!!
Kipaji Halisi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2012 Posts 2,280 Reaction score 1,366 Jun 13, 2012 #3 ...zaidi ya HATARI
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 Jun 13, 2012 #4 Sijaona hatari yeyote hapo. CCM ni hatari zidi.
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Jun 13, 2012 #5 Khaaa! Hata kama shida ya usafiri thats more than too much!
marejesho JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 6,634 Reaction score 3,662 Jun 13, 2012 #6 Duh!!!mpaka afike aendako,miguu itakuwa inamuuma kwa style aliyokaa!!!
kijembeee JF-Expert Member Joined Jun 6, 2012 Posts 409 Reaction score 105 Jun 14, 2012 #7 thats all about kufurahisha tumbo
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 Jun 14, 2012 #8 Kibongobongo ni kawaida, ugumu wa maisha unatulazimu kufanya hivyo.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jun 14, 2012 #9 Hiyo miguu duuh shughuli ipo kama anazaa
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,831 Reaction score 637 Jun 14, 2012 #10 mwaJ said: Khaaa! Hata kama shida ya usafiri thats more than too much! Click to expand... cha ajabu nini wakati anatafuta money/chapaaa! zoezi hilo analimudu hata kwenye secta nyingine!!
mwaJ said: Khaaa! Hata kama shida ya usafiri thats more than too much! Click to expand... cha ajabu nini wakati anatafuta money/chapaaa! zoezi hilo analimudu hata kwenye secta nyingine!!
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jun 14, 2012 #11 mbona kama sio bongo apa jaman
tz1 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 2,121 Reaction score 537 Jun 14, 2012 #12 Alivyo panua si ana ongeza ukubwa wa nani hii?