HABARI ZENU WADAU TUNATOA HUDUMA YA USAJIRI WA MAKAMPUNI KWA BEI NAFUU tunachokifanya hapa ni kukusaidia wewe unayetaka kufungua kampuni yako kwa kukuandalia documents muhimu zinazohitajika katika usajili wa kampuni yako ambazo ni MEMORANDUM AND ARTICLES OF ASSOCIATION (MEMARTS) na kufanya mchakato wote wa kupata Certificate of incorporation inayotolewa na Brela.KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMIA EMAIL HII mabaladome@gmail.com
Kwani wewe ni BRERA ama nyie ndiyo vishoka wa BRERA.Wewe unawezaje kutoa huduma za kusajiri kampuni wakati inajulikana kabisa huwezi kusajili kampuni ndani ya Tanzania bila kupitia BRERA na TRA