Mkuu nakushauri hivi.
1, utapata mtu wa kukusaidia kufanya namba moja hapo juu, yaani kuregsta kampuni. Ishu ya leseni ni wewe mwenyewe unaenda kutafuta na hiyo haitolewi brela,
2. Lesini inategemea unataka kufanya hiyo biashara wapi, kama uko dar means utaenda kukata leseni huko jiji au manispaa moja wapo.
Na hata kuregsta kampuni c rahisi kama unavyo fikilia. Utapata watu wakukusaidia but razima wewe mwenyewe ukamilishe mambo yafuatayo.
1. Kusearch jina la kampuni
1. Memorundumu of asociation
2. Artical of asociation
3. Kujaza form mbali mbali zinazo onyesha mahali kampuni yako itakapo kuwa, majina ya madairecta wa kampni na adress zao, jina la katibu wa kampuni.
Hivi vitu unakamilisha mwenyewe theni ndo unawatafuta watu wa kuregster wakusaidie kuregster.