Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,913
Habari wanajukwaa, poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki?
Mimi hili jukwaa limekuwa likinisaidia katika issues nyingi tu na ni msaada kwa wengine ila leo nilikuwa na suala moja ambalo linanisumbua siku nzima kuhusu application za UDOM kuna kipengele cha academic results sasa inaload alafu inaniambia please wait fetching for necta results.......halafu baadae inasema failed nimejaribu mara nyingi lakini wapi.
Naomba msaada natanguliza shukurani wakuu.