[emoji23][emoji23][emoji23]sijaelewa nielewesheUmeelewa kichwa cha habari au nimeandika natafuta watu wasio na akili timamu
Wanahitajika vijana wawili(2) kujaza nafasi zilizo wazi.
Aina ya kazi:Usajili wa line za simu za Airtel.
Eneo la kazi:Temeke
Vigezo:
-Uwe mkazi wa Temeke au maeneo jirani.
-Uwe na smartphone
--Umri:18-30 mwenye akili timamu
Ofisi zipo Tandika Temeke,kwa maelekezo zaidi piga simu 0688 838566
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]raha sana hata ukimaind haunifahamuDharau haisaidii chochote
Malipo ni kwa kamisheni
Ova mie Naomba kujua nje ya mada yako,from maeneo yako hayo ni bei gani kwa mwezi kwa biashara ya M-PESA, tigo,airtel moneyWanahitajika vijana wawili(2) kujaza nafasi zilizo wazi.
Aina ya kazi:Usajili wa line za simu za Airtel.
Eneo la kazi:Temeke
Vigezo:
-Uwe mkazi wa Temeke au maeneo jirani.
-Uwe na smartphone
--Umri:18-30 mwenye akili timamu
Ofisi zipo Tandika Temeke,kwa maelekezo zaidi piga simu 0688 838566
FremOva mie Naomba kujua nje ya mada yako,from maeneo yako hayo ni bei gani kwa mwezi kwa biashara ya M-PESA, tigo,airtel money
Tukubaliane malipo, hiyo kamisheni uchukue wewe