msadapadasi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 504 Reaction score 62 Apr 29, 2022 #1 Wakuu naomba kuuliza Mimi ninaishi Mbeya. Je, utaratibu upoje kama nataka kutumia gari kutoka Malawi au Zambia ikiwa na usajili wa Malawi, kuna namna ya kulipia iwapo nataka kutumia kwa miezi kadhaa then narudisha. Msaada tafadhali
Wakuu naomba kuuliza Mimi ninaishi Mbeya. Je, utaratibu upoje kama nataka kutumia gari kutoka Malawi au Zambia ikiwa na usajili wa Malawi, kuna namna ya kulipia iwapo nataka kutumia kwa miezi kadhaa then narudisha. Msaada tafadhali