Usajili wa Gabriel Jesus kutua Arsenal mambo safi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
1656311559408.png

Taarifa za uhakika inaelezwa kuwa Klabu ya Arsenal imekamilisha mchakato wa kumsajili mshambuliaji Gabriel Jesus kwa ada ya Paundi Milioni 45 na tayari majadiliano kuhusu mahitaji binafsi ya mchezaji yamefikiwa.

Mshambuliaji huyo wa Manchester City amekuwa akihusishwa kuwaniwa na Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta tangu alipoondoka Man City alipokuwa Kocha Msaidizi. Inadaiwa Jesus amesaini mkataba wa miaka mitano.

Inadaiwa kuwa Man City itatumia kiasi hicho cha fedha kwa ajili ya kumsajili kiungo wa Leeds United, Kalvin Phillips ambaye au lake ni Paundi Milioni 42.

===

Arsenal 'have COMPLETED the £45m signing of Gabriel Jesus after finalising personal terms

Arsenal have reportedly finalised the signing of Gabriel Jesus after agreeing personal terms with the Manchester City striker.

The Gunners had already agreed a £45million fee with City and the deal is now 100 per cent done according to Fabrizio Romano.

Jesus, who previously worked with Mikel Arteta when the latter was an assistant coach at City, will reportedly sign a five-year contract with Arsenal.

Sportsmail understands City will use the funds to seal a move for Leeds midfielder Kalvin Phillips. City have agreed a deal of £42million plus add-ons for the England international.

Pep Guardiola's side have already signed Erling Haaland from Borussia Dortmund, which meant that they were able to sell Jesus.

The deal is set to end Arsenal's search for a striker following the departure of Alexandre Lacazette, who is returning to Lyon. Arsenal elected not to buy a striker in the January transfer window despite Pierre-Emerick Aubameyang joining Barcelona.

Source: DailyMail
 
Kati ya Hotpsurs na Chelsea(ambazo zipo UCL), yeye amechagua washika bunduki. Now you know The Gunners are one of the best in the UK.
Chelsea na spurs hawakuwa serious kwenye kusubmit bid kuliko arsenal lakini sio km unavyotaka kutuaminisha kuwa aliichagua arsenal
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom