Usajili wa consultancy firm

Ushauri elekezi katika nn? Uchumi;usanifu majengo;uchumi;uhandisi au nn? Mana kuna bodi tofauti za usimamizi
 
Ushauri elekezi katika nn? Uchumi;usanifu majengo;uchumi;uhandisi au nn? Mana kuna bodi tofauti za usimamizi
Asante Mkuu lengo kuu ni Business Consultancy hasa Business Management, Risk Management, na training katika maeneo hayo
 
Naomba kujua utaratibu wa kuanzisha na kusajili Consultancy firm.

Mkuu hatua ya kwanza ni kusajili kampuni yako BRELA.See below step by step procedure
1. Apply for clearance of the proposed company name at the Business Registration and Licensing Authority (BRELA)

2. Prepare Memorandum and Articles of Association (MEMAT)

3. Obtain a notarized declaration of compliance (from a lawyer)

4. Apply for company incorporation and obtain the certificate of incorporation (from BRELA)

5. Apply for taxpayer identification number (TIN) at TRA

6. Obtain taxpayer identification number (TIN)

7. Apply for a business license at the Ministry of Industry and Trade or Local Government Authorities (Manispaa)

Endapo utahitaji msaada kwenye kukamilisha process ya usajili BRELA naomba tuwasiliane inbox tuelewane
 
Back
Top Bottom