nkungu mwere
JF-Expert Member
- Sep 6, 2018
- 258
- 336
Samahani,sihitaji imsajili nani,bali atakayesajiliwa aakisi kauli ya simba,kuwa inataka isajili nyota wazuri ili iwe sambamba na kina.AHALY,huwezi taka hivyo alafu ufanye haya bado utegemee matokeo bora,Wewe unataka imusajiri nani?
Are you gongowazi fun?Samahani,sihitaji imsajili nani,bali atakayesajiliwa aakisi kauli ya simba,kuwa inataka isajili nyota wazuri ili iwe sambamba na kina.AHALY,huwezi taka hivyo alafu ufanye haya bado utegemee matokeo bora,
Samahani,sihitaji imsajili nani,bali atakayesajiliwa aakisi kauli ya simba,kuwa inataka isajili nyota wazuri ili iwe sambamba na kina.AHALY,huwezi taka hivyo alafu ufanye haya bado utegemee matokeo bora,
Isikupe shida,ukitaka kujua uwezo wa waliosajiliwa na simba angalia profile zao,,anza na huyu 'aliyewahi kutamba mazembe2009/2013,nenda kwa wabrazili wa INDIA na VIETNAM,,,,endeleaPia aliyesajiliwa umeshawahi mfatilia kujua kiwango chake?
Isikupe shida,ukitaka kujua uwezo wa waliosajiliwa na simba angalia profile zao,,anza na huyu 'aliyewahi kutamba mazembe2009/2013,nenda kwa wabrazili wa INDIA na VIETNAM,,,,endelea
Nenda kwenye profile sio YouTubeKiwango cha mtu kinapimwa kwa YouTube?
Nenda kwenye profile sio YouTube
Usikariri vitu, nakupa mfano Francis Kahata ni bonge la mchezaji akikutana na mbugira mbugira wa Afrika mashariki ila Afcon kakutana na best players hakuna alichokifanya.Yan mim, nikishaanza kuona wabrazili tu, naanza kuhisi dalili mbaya. Ukiacha yule beki aliyetoka india, wale wengine wawili hamna kitu kwa mujibu wa data zao.
Lakini pia, nilitarajia kuona wachezaji wenye uzoefu wa CAF champions league, ambao kwa kutumia uwezo wao tungeweza kusumbua tena this season.
Ngoja tuone
Pambaneni na Kagera kwanza!Gongowazi wajiandae kwa kipigo kisichopungua goli tano
Anayeidharau ligi ya Sudan atakuwa hajui anachokizungumza.
Kwa taarifa yako, sio rahisi kumchukua mchezaji kutoka Sudan kwa timu kama Al Hilal na El Meriekh.
Tena hata hivyo Simba wamefanya usajili wa watu wengi, kwa timu waliyokuwa nayo msimu uliopita, walitakuwa kuongeza vichwa 3 tu kutoka nje na wachezaji labda 4 kutoka ndani. Sema ubora wa wachezaji wa ndani ndio una shaka kwa aina ya malengo ya Simba.