Usain Bolt ashindwa kung'ara kwenye relay race IAAF 2017

Wanstechnical

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
266
223
Kwa kinachoonekana kuwa mwisho mbaya kwa mkali wa mbio na mtu mwenye kasi zaidi duniani, Usain Bolt leo ameshindwa kuipaisha timu yake katika relay race kwenye michuano ya IAAF London 2017.

Mkali huyo akiwaongoza wakimbiaji wenzie ameshindwa kutamba mbele ya Britain waliochukua gold, Bolt ambaye kila mmoja alitarajia atawainua wenzie katika kupata Gold medal amishia 'kulamba mchanga' baada ya kupatwa na maumivu ya kifundo cha mguu wakati anapokezana na mwenzie.
f769260976fee3c4cbd3f30a21382f71.jpg
229e5e442093949484d143c662c9ca9f.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom